Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

Featured Posts

August 16, 2018

DC LUDEWA AIPONGEZA MITANDAO YAKIJAMII KUCHANGIA MAENDELEO

 Mkuu wa wilaya ya Ludewa Mh.Andrea Tsere akiongea na wanafunzi wa shule ya Sekondari Chief Kidulile ambao waliunguliwa na vifaa vyao katika Bweni.


Mkuu wa wilaya ya Ludewa Mh.Andrea Tsere ameipongeaza mitandao ya kijamii wilayani hapa kutokana na mitandao hiyo kuchangia kiasi kikubwa katika mendeleo ya wilaya katika maafa pia elimu.

May 30, 2018

Kinana ang'atuka nafasi ya Ukatibu Mkuu CCM ....Tazama Hapa Majina ya Waliochaguliwa NEC Ya CCM


SeeBait
Katibu mkuu Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameng'atuka nafasi yake aliyokuwa akiishika ndani ya chama hicho na CCM wameridhia ombi hilo rasmi.

Vyama Ya Ushirika Vyaaswa Kuchanganya Siasa


SeeBait
Wanachama wa Vyama vya Ushirika nchini wametakiwa kuacha kuchanganya mambo ya siasa na ushirika ili kuondoa migogoro na migongano inayotokea mara kwa mara katika vyama vyao.

April 22, 2018

Rais Magufuli aguswa na kifo cha Masogange


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia ya Agness Gerald Waya kufuatia kifo cha mtoto wao Agness alimaarufu kama Masogange kilichotokea Ijumaa.

KIJIJI CHAKOSA MIUNDOMBINU YA BARABARA TOKEA UHURU MPAKA SASA

 Wananchi wa kijiji cha Nkwimbili pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa Mh.Edward Haule wakichimba barabara ya kuunganisha na makao makuu ya wilaya.

March 02, 2018

RUFAA YA SUGU IMETUA MAHAKAMA KUU

 Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela iliyotolewa kwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga imewasilishwa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya.

TCRA Yazindua mfumo wa usajili laini za Simu kwa kutumia alama za vidole


SeeBait
Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA)  imezindua mfumo wa kusajili laini kwa kutumia alama za vidole.

Mfumo huo ujulikanao kama Baiometria utawezesha kupata taarifa sahihi za wateja wa kampuni zote za simu nchini, ilielezwa.

Moto wa Mshumaa Waua Watoto Wanne Wa Familia Moja

SeeBait
Watoto wanne wa familia moja wamefariki dunia kwa kuteketea kwa moto walipokuwa wamelala chumbani katika tukio lililotokea mtaa wa Geita Road Kata ya Nyatukala mjini Sengerema.

LHRC yadai upinzani ulionewa uchaguzi mdogo Kinondoni na Siha.....Hapa Kuna Tamko Lao


SeeBait
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimedai uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni na Siha uliofanyika Februari 17, 2018 ulikuwa huru, lakini haukuwa wa haki kwa sababu vyama vya upinzani vilionewa.
Akizungumza jana Alhamisi Machi 1, 2018 Kaimu Mkurugenzi wa kituo hicho, Anna Henga amewaeleza waandishi wa habari kuwa kulikuwa na upendeleo kwa CCM, kwamba mawakala wa vyama vya upinzani walinyimwa viapo katika vituo vingi na kusababisha vyama hivyo kukosa waangalizi.

January 28, 2018

PETS KATA YA LUDEWA WAKAGUA MRADI WA MAJI UTAKAO WANUFAISHA WANANCHI WA KIJIJI CHA LUDEWA.

 Meneja wa mamlaka ya maji Ludewa Bw.Mwinuka Gregory akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Pets
  Meneja wa mamlaka ya maji Ludewa Bw.Mwinuka Gregory akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Pets

January 23, 2018

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA ATEMBEA KWA MIGUU KILOMETA KUMI ILI KUWAUNGANISHA WANANCHI WA KIYOGO NA KIPINGU.

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mh.Edward Haule akikagua eneo ambalo uanzishwaji wa barabara ya kuviunganisha vijiji vya Kiyogo na Kipingu itapita.

January 05, 2018

KUNDI LA WHATSAPP LA WILAYA YA LUDEWA LATOA MSAADA WA KITANDA HOSPITARI YA WILAYA.

 Bw.Obote Msemakweli akimkabidhi Dkt.Kilimba kitanda cha kubebea wagonjwa pamoja stand za drip
  baadhi ya Wanakundi la whatsapp la wilaya ya Ludewa wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Hospitari ya wilaya ya Ludewa