Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

October 01, 2014

ONANA NA KAMPUNI YA MAFUNDI BOMBA NA WAUZAJI WA VIFAA MBALIMBALI VYA BOMBA ZA MAJI SAFI NA MAJI TAKA WANAOPATIKANA WILAYANI LUDEWA KATIKA MKOA WA NJOMBE

 Kampuni ya mafundi bomba iitwayo MAJI YASIVUJE wanaopatikana Ludewa mjini katika jengo la Mgongoti.

MAJI YASIVUJE ni wa wauzaji wa vifaa mbalimbali vya mabomba kwa bei nafuu pia ni mafundi waliobobea katika fani ya utengenezaji wa mabomba katika nyumba na mitaani.
 Ufikapo Ludewa Mjini wasiliana nasi kwa sim no.0758146258 kwa huduma bora za kiufundi na vifaa

No comments: