Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

October 04, 2014

HARUSI YA HORACE KOLIMBA AMBAYE NI AFISA UTUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA LUDEWA NA EMMANUELA MLOWE LEO

Bw.Harusi Horace Kolimba na Bibi Harusi Emmanuela Mlowe wakiingia kanisani muda huu kabla ya kufunga harusi yao katika kanisa la EAGT Ludewa mjini

Maharusi wakisindikizwa na ndugu na jamaa zao ndani ya kanisa muda huu
umati wa watu uliofulika katika kushuhudia harusi hiyo
Bibi harusi Emmanuela Mlowe akioneshwa mahala pa kukaa akisubiri kufunga ndoa
wasimamizi wakiwa na maharusi
Bw.Kolimba akiwa na Bi.Emmanuela wakisubiri kufunga ndoa yao
Askofu Raphael Kayombo ambaye ni Askofu wa kanda  ya kusini akijiandaa kufungisha ndoa hiyo

Mbunge wa zamani wa jimbo la Ludewa na mkuu wa wilaya mstaafu Bw.Stanley Kolimba akiwa na uso wa furaha katika kushuhudia harusi ya mjukuu wake ambaye ni bwana harusi Horace Kolimba
Bw.Martin Sungwana akifurahi jambo katika harusi hiyo

Wazazi wa Bwana harusi wakiwa katika hali ya utulivu ili kuona ndoa ya mtoto wao ikifungwa.
Wazazi wa Bibi harusi wakiwa katika hali ya utulivu ili kuona ndoa ya mtoto wao ikifungwa.

Ndoa hiyo inayofungwa muda huu katika Kanisa la EAGT ya mjukuu wa Kolimba itafuatiwa na sherehe ambayo itafanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa.

Endelea kufuatilia mtandao huu kwa matukio zaidi.

No comments: