Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

February 21, 2013

TEMBELEA MANDA ROAD DUKA LA DAWA MUHIMU

Manda road duka la dawa muhimu ni duka bora kwa mahitaji ya dawa za binadamu wanapatikana Ludewa mjini mkabala na Hospitari ya wilaya ya Ludewa.
 dawa mbalimbali kwa mahitaji ya binadamu kutana na Manda Road ufikapo mlango mkuu wa kuingilia hospitari ya wilaya
Pia wanatoa huduma mbalimbali zikiwepo za ushauri wa kitabibu ambapo utakutana na Dkt Joseph Sampamba ambaye ni mmiliki wa duka hilo
kwa mawasiliano zaidi tupigie simu no 0762802660 kwani wanafanya kazi saa 24 


tumekufikia wewe na familia yako tupigie 0762802660

No comments: