Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

August 03, 2016

MBUNGE wa jimbo la Ludewa Mh.Deo Ngalawa aahidi makubwa ktk michezo


 Mh.Deo Ngalawa akikabidhi vifaa vya michezo ktk timu za mpira wa miguu ktk vijiji vyote 77 wilayani Ludewa tayari kwa mashindano





Mbunge wa jimbo la Ludewa Mh.Deo Ngalawa ameahidi kufanya mambo makubwa wilayani Ludewa katika sekta ya michezo ili kuibua vipaji vilivyosahaulika wilayani hapa.

No comments: