Wabunge
wa Vyama vya Upinzani vinavyounda Ukawa, leo wametoka tena Bungeni kama
walivyoazimia kukacha vikao vyote vinavyoongozwa na Naibu Spika, Dk.
Tulia Ackson, lakini wamekuwa na mtindo wa aina yake.
Tofauti na siku nyingine, leo wabunge hao wa upinzani wamejifunika midomo kwa plasta huku wakiwa wameandika jumbe mbalimbali za kuonesha kuminywa kwa haki ya kujieleza.
Mwenyekiti mwenza wa Ukawa, James Mbatia aliwaambia waandishi wahabari nje ya ukumbi wa Bunge hilo kuwa wameamua kutoka nje ikiwa leo ni siku ya kuipigia kura bajeti ya Serikali kwani hawakushiriki kuijadili. Pia, alisema kuwa bajeti hiyo ni mbaya inayowaumiza wananchi.
“Ni fedha za watanzania wote walipa kodi tukiwemo sisi. Lakini democratic perspective inasema ‘hakuna kulipa kodi kama hakuna uwakilishi’. Sasa sisi tunawaambia Watanzania, tumejadili na bajeti hii ni mbaya… mbaya sana ya kuwaumiza Watanzania. Ni ya maumivu mabaya sana ya kuwaumiza Watanzania,” alisema Mbatia.
Alisema kwakuwa leo ni siku ya kupiga kura hawatashiriki kwa kuwa hawakushiriki kujadili bajeti hiyo bali wataenda kushtaki kwa wananchi.
Akizungumzia zuio la mikuano ya hadhara, Mbatia amesema kuwa mikutano hiyo itafanyika tu kwani haipangiwi na mtu mmoja bali ni kwa mujibu wa sheria na taratibu za kidemokrasia..

HABARI HII KWA UDHAMINI WA
MORNING STAR
PRE&PRIMARY ENGLISH MEDIUM NI SHULE INAYOFUNDISHA KWA LUGHA YA KIINGEREZA.
Inatangaza
nafasi za masomo kwa mwaka 2017/2018
Awali na
msingi(pre & primary),Shule inatangaza nafasi ya elimu ya awali kwa watoto
wenye umri kuanzia miaka mine hadi sita.
Primary(darasa
la kwanza)kwa watoto kuanzia miaka sita(6) mpaka kumi (10),kwa watoto wanaotaka
kujiunga darasa la kwanza lakini hawajasoma kiingereza watatakiwa kujiunga na
shule mwezi wa kumi (10) mwaka huu kwaajili ya kujifunza kiingereza(English course)
kwa muda wa miezi mitatu(3) kuanzia October-December kabla ya kuanza darasa la
kwanza January 2017.
Nafasi
kwaajili ya darasa la pili 2017,shule ina nafasi chache kwa watoto wanaotaka
kujiunga darasa la pili,pia kwa wale walioko katika shule za kawaida wanaotaka
kujiunga darasa la pili mchepuo wa kiingereza wanakaribishwa.
Shule inatoa
mafunzo ya kompyuta bule kwa wanafunzi wote wanaosoma Morning star,pia shule
inatangaza Course ya kompyuta kwa waliohitimu kidato cha nne na kuendelea kwani
ada zetu ni nafuu.
Shule
inapatikana Ludewa mjini mtaa wa Mdonga karibu na shule ya sekondari St.Aloyce
kwani inamazingira mazuri ya kitaaluma,shule ina usafiri wa uhakika kwa
wanafunzi wa kutawa.
No.0756-654607 /0759-238705 /0764-279158
Wahi sasa kwani nafasi ni chache.
No comments:
Post a Comment