Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

May 26, 2016

TIMU YA KURUGENZI FC LUDEWA YAINYOOSHA NINDI FC GOLI MOJA BILA LIGI YA WILAYA

 Hawa ndio Kurugenzi FC Ludewa



Timu ya kurugenzi fc iliyoko wilayani Ludewa jana iliifunga timu ya Nindi fc goli moja kwa bila katika ligi ya wilaya inayoendelea wilayani Ludewa,

kitendo cha gili hilo kuingia katika lango la Nindi fc kilizua taflani na kusababisha pambano hilo kuvunjika kutokana na wachezaji wa timu ya Nindi kumvamia mwamuzi na kumpiga.

Ligi hiyo inaendelea na mpaka sasa Timu ya Magereza fc ndio inayoongoza katika ligi hiyo.

No comments: