Waziri Maghembe amsimamisha kazi Mkurugenzi Msimamizi Wanyamapori
Waziri
wa Maliasili na Utalii Pro. Jumanne Maghembe amemsimamisha kazi
Mkurugenzi Msimamizi wa Wanyamapori, Charles Mulokozi baada ya kutoa
vibali vya kusafirisha Tumbili kwenda Albania.
Sakata
hilo limetokea baada ya Jeshi la Polisi kuwakamata raia 2 wa Uholanzi
katika uwanja wa ndege wa KIA wakiwa na Tumbili 61 hai wakijaribu
kuwasafirisha kwenda nchini Albania.
No comments:
Post a Comment