Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

July 25, 2015

PINDI CHANA ABWAGWA VIBAYA

PINDI CHANA ABWAGWA VIBAYAUCHAGUZI UBUNGE VITI MAALUM- NJOMBE

matokeo ya ubunge viti maalum mkoa Njombe ni kama ifuatavyo

Dkt Susan Kolimba kapata kura 252, Neema Mgaya 213,Pindi Hazara Chana 164, Elika Sanga 107, Rosmaly Sitaki 38, Magreth Kyando 5, pia mwakilishi wa mashirika yasiyo ya kiserikali NGO's wa mkoa wa Njombe kwa viti maalumu ni Mwina Japhet Nebo.



No comments: