Wasanii wakifanya mazoezi ya hisia
Msanii Lucy Nkwera akifanya mazoezi ya hisia ya kulia
Kikundi cha
sanaa kijulikanacho kama IVA YOUTH GROUP kimeanza kufanya mazoezi ya wilamu
yenye mahadhi ya wilaya ya Ludewa ambayo inatarajia kuingia sokoni mapema Machi
mwaka huu.
Katibu wa
kikundi hicho Bi.Eliza Haule alisema filamu hiyo ambayo imejumuisha radio best
fm,Wanyoni Intertainement pamoja na IVA YOUTH GROUP ili kuleta mabadiriko ya
kisanaa wilayani hapa kwani wilaya inavipaji vingi vya wasanii lakini hakuna
anayeweza kuviibua vipaji hivyo.
Bi.Eliza
alisema bado kikundi hicho hakna wafadhiri hivyo anawaoma wadau mbalimbali
wanaopenda sanaa kuweza kukifadhiri kikundi hicho ili kiweze kukuza vipaji vya
wasanii wanaochipukia.
No comments:
Post a Comment