skip to main |
skip to sidebar
Taarifa
ambayo imetolewa kupitia Clouds FM mchana wa December 17 ni kuhusu kifo
cha aliyekua Mmnenguaji wa muziki wa dansi Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha
Madinda’ kufariki dunia.
Chanzo
cha kifo chake bado hakijafahamika,amefariki akiwa hospitali ya
Mwananyamala alikopelekwa akiwa tayari ameshafariki,taarifa zaidi
zitazidi kukufikia kupitia habari ludewa blog
No comments:
Post a Comment