Meneja wa kituo cha radio wilayani Ludewa Best FM Bi.Deograsia Nyoni akifunguamashindano ya mpira wa miguu kati ya Ludewa Rangers na Mzalendo FC,Pambano hilo liliisha kwa timu ya Ludewa Rangers kuifunga goli tatu kwa moja Mzalendo FC.
Timu ya Ludewa Rangers iliyovalia jezi za manjano na Mzalendo fc Jezi Nyekundu wakiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya wafanyakazi wa radio best fm
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment