Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

September 30, 2014

SHEREHE ZA USALAMA BARABARANI ZAFANA WILAYANI LUDEWA

Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Ludewa Bw.William Waziri akihutubia umati wa wananchi wa Ludewa mjini katika  kilele cha sherehe za wiki ya usalama barabarani 
Wananchi pamoja na wanafunzi wakimsikiliza OCD wa wilaya ya Ludewa hayuko pichani Bw.Emmanuel Galiyamoshi

Waendesha pikipiki hawako pichani waliungana na wananchi kupata somo namna ya usalama wawapo barabarani
OCD wa wilaya ya Ludewa Emmanuel Galiyamoshi akimsikiliza mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ludewa

No comments: