Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

August 10, 2014

WANANCHI LUDEWA WAANDAMANA KUWAUWA MBWA WALA WATU

 Huyu ndiye mbwa aliyefanya wananchi wa Ludewa mjini waandamane hadi kwa mmiliki na kumuua akiwa bandani baada ya kushirikiana na mwenzie ambaye aliuawa awali kumla mtoto wa darasa la tatu
 Mbwa aliyeuawa awali katika eneo ambalo mtoto aliliwa
 Jeneza lililobeba mwili wa mtoto Ibrahim ambaye aliuawa na Mbwa na kumla



katibu wa mbunge wa jimbo la Ludewa Bw.Stanley Gowele akiongea katika kikao kilichotoa maamuzi ya kumuua mbwa aliyebaki
Mzee mashuhuri mzee Muhuchu akisisitiza jambo katika mkutano
 Mwananchi aliyejulikana kwa jina la Mrisho akichangia hoja


Wananchi walio andamana katika eneo la Ikulu ya Ludewa ambako mmiliki wa mbwa hao alinunua Nyumba moja ya katika Ikulu hiyo na kuwafuga mbwa hao

Wananchi wakiondoka eneo la ikilu baada ya kushirikiana na maafisa mifugo pamoja na jeshi la Polisi kumuua Mbwa aliyebaki

Wananchi wakiwachoma moto Mbwa hao wala watu



No comments: