waandaaji wakiwa katika harakati za kumchinja
zoezi la kumla mbuzi wa umoja kwanza likiwa katika hatua za awali
baadhi ya wachezaji wakipata nyama ya mbuzi ambaye walimpata katika tamasha la umoja kwanza,timu hiyo iliibuka kidedea baada ya kuifunga timu ya uplands fm goli 4 kwa moja
wadau wa soka wilayani Ludewa wakipata nyama ya mbuzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment