Filikunjombe akihojiwa na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa ziara ya ukaguzi wa barabara
Filikunjombe akipima barabara kuhakikisha vipimo vilivyopangwa kupanuliwa
msafara wa ziara ya ukaguzi wa barabara eneo la mlima wa Ludewa kijijini
Filikunjombe akiwauliza mawsali wakandarasi
eneo la barabara ambalo tayari limeshapanuliwa
Mtaalam kutoka kampuni ya Mtwivila construction akihojiwa na waandishi wa habari
Mkurugenzi wa G,S Contructors co LTD akihojiwa na waandishi wa habari
Mtaalam kutoka kampuni ya Canopies akihojiwa na waandishi wa habari
wanahabari wakiangalia barabara
Filikunjombe akipata maelezo kutoka kwa raia wa China anayetoka kampuni ya SIETCO inayojenga barabara za mitaa ya mji wa Ludewa kwa kiwango cha lami
wanahabari wakiwa katika barabara mpya ya kata ya Lupingu
Mkurugenzi wa Boimanda Construction akihojiwa na waandishi wa habari
moja ya magari ya kampuni ya siecto likiwa limepinguka
baadhi ya mitambo ya kampuni ya G,S
Filikunjombe akiwa katika picha ya pamoja na Makandarasi wote wanaofanya kazi katika wilaya ya Ludewa mara baada ya kumaliza ukaguzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment