Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

July 28, 2014

DC LUDEWA AZINDUA MAFUNZO YA MGAMBO KATA YA MKONGOBAKI

Mkuu wa wilaya Ludewa Bw.Juma Solomon Madaha akikaribishwa na mkufunzi wa mgambo katika kijiji cha Mkongobaki
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw.Juma Solomon Madaha akitoa hotuba kwa wanamgambo walioko mafunzoni


Bw.Madaha akiandika maswali kutoka kwa wanamgambo

Mshauri wa Mgambo wilaya ya Ludewa akiwasalimia wananchi waliofika katika ufunguzi wa mafunzo ya mgambo
Wanamgambo wakimsikiliza  mkuu wa wilaya ya Ludewa




No comments: