Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

May 18, 2013

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA

 Barabara zikiendelea kukarabatiwa katika mitaa ya mji wa Ludewa
 Gari ya mizigo ikipakua trekta katika viwanja vya mpira wa miguu wilayani Ludewa
Uwanja wa mpira wa miguu wilayani Ludewa wabadirishwa matumizi na kuwa sehemu ya kupakulia mizigo
Wanafunzi wa shule za msingi wakishangaa tukio hilo ambapo mashindano ya umitashumta yakiendelea katika viwanja hivyo
wadau mbalimbali wakistaajabu tukio la uwanja kuwa eneo la kushushia mizigo







wanafunzi wakiendelea na michezo wakati gari ya mizigo inashusha mizigo uwanjani hapo

No comments: