Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

May 06, 2013

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA



eneo lenye madini ya dhahabu na shamba muhumbi wilayani Ludewa
machimbo ya dhahabu Nkomang'ombe
Mchimbaji mdogo mzee Rashid akionesha mwamba unamokaa dhahabu  na shaba katika machimbo ya Nkomang'ombe wilayani Ludewa,ambako wachimbaji wadogo wa dhahabu na shaba hujitafutia ridhiki.


Mwamba unaokaa na dhahabu ukiwa umechimbwa na tayari dhahabu imeshatolewa


Kikundi cha wanamsumali kikitumbuiza katika moja ya baa za Ludewa

David Kapulu akipagawisha mashabiki kwa kuimba

mpiga gitaa Bw.Gama akipagawisha mashabiki


Wanamsumari ndani ya Ludewa Risort

No comments: