Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

May 22, 2013

MASHINDANO YA POOL WILAYANI LUDEWA YAPAMBA MOTO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS,WASHINDI WATATU WAKABIDHIWA ZAWADI

 Mshindi wa mchezo wa pool Bw.Lucas Mwakolope aliyejinyakulia kitita cha shilingi elfu therathini akiwa na furaha baada ya ushindi huo katika viwanja vya Leaders wilayani Ludewa
 Bw.Lucasa akiwaadhibu wapinzani wake
Bw.Ngailo akipambana katika shindano hilo
Bw.Ngailo akiendelea kupambana lakini alitolewa katika laundi ya tatu
Bw.Siza akiwa kazini katika kuwania ushindi wa mashindano hayo,aliyeshika chupa ya bia ni Bw.Robart ndiye aliyeibuka mshindi wa tatu katika mashindano hayo na kupata kiasi cha shilingi elfu kumi.
Mdha,imi wa ,ashindano hayo Bw.Baraka Mkuya akipanga token
 Haji akipambana kuwania ushindi
Huyu ndiye mshindi wa pili aliyejulikana kwa jina la Ally aliondoka na kiasi cha shilingi elfu ishirini katika mashindano hayo


Bw.Seleman akipambana na aliyeshika ushindi wa pili kabla ya kutolea katika mashindano
Aliyeshika chupa ya bia ni mdhamini wa mashindao hayo ambapo alitoa kiasi cha shilingi elfu sitini ili zishindaniwe kutokana na wilaya ya Ludewa kutokuwa na wadhamini wa vinywaji katika mchezo huo.
Hamis ambaye ni Meneja wa baa hiyo ya Leaders akifungua pool baada ya Haji kutolewa
Mdhamini akipanga token
 Sule akipambana
Siza akipamana kuwania ubingwa

No comments: