Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

April 22, 2013

TAKUKURU WILAYA YA LUDEWA WATEMBELEA WAGONJWA NA KUFANYA USAFI HOSPITARI YA WILAYA

Kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Ludewa Bw.Edings Mwakambonja akifanya usafi katika moja ya wodi ya Hospitari ya wilaya ya Ludewa
 viongozi wanafunzi wa klabu za kupambana na rushwa wakiwa na Afisa wa TAKUKURU Bw.George wakishiriki kufanya usafi katika hospitari ya wilaya ya Ludewa
 Afisa wa TAKUKURU Bw.Chihongaki akishiriki kufanya usafi katika moja ya ofisi za hospitari ya wilaya ya Ludewa
Afisa wa TAKUKURU Bw.Swebe akishiriki katika usafi
 Kamanda wa TAKUKURU wilaya ya Ludewa Bw.Mwakambonja akishiriki katika usafi hospitariya wilaya ya Ludewa
Maafisa wa TAKUKURU wakiwa na kamada wao katika kuhakikisha wanashiriki kikamilifu suala la usafi hospitari ya wilaya ya Ludewa.
Kamanda wa TAKUKURU wilaya Bw.Mwakambonja akitoa ufafanuzi kwa madaktari wa hospitari hiyo kuhusiana safari ya kuitembelea hospitari hiyo
 Muuguzi mkuu wa hospitari yawilaya ya Ludewa Dkt.Kaoza akifafanua namna ya utendaji wa hospitari hiyo mbele ya viongozi wa klabu za kuzuia na kupambana na rushwa za wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali wilayani Ludewa
Kamanda wa TAKUKURU Bw.Mwakambonja akitoa miche ya sabuni za kufulia nguo kwa mama aliyejifungua mtoto kwa njia ya upasuaji
Mwanafunzi ambaye ni kiongozi wa klabu ya kupambana na rushwa akitoa msaada wa sabuni za kufulia kwa mgonjwa aliyelazwa katika hospitari ya wilaya ya Ludewa
Viongozi wa club za kupambana na rushwa pamoja na maafisa wa TAKUKURU wakiwa katika picha ya pamoja na madaktari wa hospitari ya wilaya ya Ludewa
Kamanda wa TAKUKURU Bw.Edings Mwakambonja akifanya matendo ya huruma kwa wagonjwa katika hospitari ya wilaya ya Ludewa
 Viongozi wa club za kupambana na rushwa wakipata maelezo kutoka kwa madaktari wa hospitari hiyo
 Viongozi wa club za kupambana na rushwa wakipata maelezo kutoka kwa madaktari wa hospitari hiyo
Viongozi wa TAKUKURU pamoja na waandishi wa habari wakipata maelezo kutoka kwa madaktari wa hospitari ya wilaya ya Ludewa

No comments: