Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

April 07, 2013

HALI MBAYA YA VYOO NA UKOSEFU WA MAJI SHULE YA SEKONDARI IKOVO WILAYANI LUDEWA

Vyoo vinavyotumiwa na walimu wa shule ya sekondari Ikovo

kulia ni kaka mkuu wa Sekondari ya Ikovo mwanafunzi Baraka Mgimba na dada mkuu Joverida Tibenda wakionesha mazingira ya ubovu wa vyoo vyao
Vyoo vya wanafunzi wakiume shule ya sekondari ikovo iliyoko kata ya Ludende wilayani Ludewa katika mkoa wa Njombe


Vyoo vya wanafunzi wakiume vikiwa katika hali mbaya
matundu ya vyoo vya wanafunzi wakike shule ya Sekondari Ikovo
Choo cha wanafunzi wakike
moja ya majengo ya madarasa ya shule ya sekondari Ikovo yakiwa katika hali mbaya hali ambayo husababisha wanafunzi kupigwa na baridi kali wawapo darasani
choo cha wanafunzi wakiume kikiwa hakitumiki na kuwafanya wanafunzi hao wa shule ya sekondari Ikovo kujisitiri polini

No comments: