Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

March 18, 2013

SHIRIKA LA ACRA KUPITIA MRADI WA INTERVITA LAJENGA DARASA LENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 19 SHULE YA MSINGI MAWENGI

 Mratibu wa shirika la ACRA Bi.Neema Kidugo akisoma taarifa ya ujenzi
Fundi msanifu wa majengo kutoka shirika la SHIPO Bw.Vicent Mgina
Afisa elimu wa wilaya ya Ludewa Bw.Robart Hyera akiwashukuru wafadhiri kwa ujenzi wa darasa hilo
 Wanafunzi wa shule ya msingi mawengi wakitumbuiza kwa kwaya
 Wageni wakiwasili katika shule ya msingi Mawengi
 Jengo lililojengwa na ACRA
Afisa mtendaji wa kijiji cha Mawengi Bi.Mwamasimbi akiwakaribisha wageni katika shule ya msingi mawengi
 huu ndio muonekano wa madarasa ya zamani na jengo la sasa lililojengwa kwa ufadhiri wa shirika la ACRA
Kaimu mkurugenzi wa wilaya ya Ludewa Bi.Wahida akizindua jengo hilo
 Bi.Neema akitoa ripoti ya matumizi ya fedha katika ujenzi huo
Bw.Vicent Mgina akielezea namna ujenzi huo ulivyofanyika
Fundi msanifu wa shirika la SHIPO ambaye pia ni diwani wa kata ya Mundindi wilayani Ludewa Bw.Vicent Mgina aliyesimamia ujenzi wa jengo hilo akiwa na mratibu wa shirika la ACRA Bi.Neema Kidugo
 Bi.Neema Kidugo ambaye ni mratibu wa shirika la ACRA upande wa ujenzi akiwasalimia wananchi wa Mawengi.
 Hili ndilo jengo la darasa lililojengwa kwa ufadhiri wa shirika la ACRA kupitia mradi wa INTERVITA
 Bi.Neema akivishwa taji na mtendaji wa kijiji cha mawengi Bi.Mwamasimbi
 Bi.Neema akipewa zawadi ya kuku na mmoja wa wananchi wa Mawengi
Viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya jengo lililojengwa kwa ufadhiri wa shirika la ACRA katika shule ya msingi Mawengi.
Bi.Neema akiwa na zawadi yake ya Mbuzi baada ya kuwakabidhi jengo lenye thamani ya shilingi milion 19 wananchi wa kijiji cha mawengi
 Bi.Neema akikabidhiwa zawadi ya Mbuzi kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Mawengi baada ya kumaliza ujenzi wa jengo hilo.
 Afisa elimu wa wilaya ya Ludewa Bw.Robart Hyera akikabidhi vyeti kwa mafundi waliojenga jengo hilo baada ya kuhitimu mafunzo ya ufundi kutoka shirika la SHIPPO
 Muonekano wa jengo jipya na majengo ya zamani ya shule ya msingi Mawengi
Jengo la darasa la shule ya msingi Mawengi lililojengwa kwa ufadhiri wa shirika la ACRA kupitia mradi wa INTERVITA
 Shrika hilo pia limeahidi kuendelea na ukarabadi ikiwemo ujenzi wa vyumba vingine vya madarasa na usambazaji wa umeme katika shule 10 zikiwemo shule tano za kata ya Milo na shule tano za kata ya Mawengi.

No comments: