Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

March 18, 2013

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA


 waandishi wa habari wakiwa na mmoja wa waandishi waliopata ajari hiyo
Hii ndio gari waliyopata nayo ajari watangazaji wa Uplands FM ambao ni meneja wa kituo hicho cha radio Bw.Hamis Kasapa na mwenzake,hapo ikiwa kituo cha polisi cha wilaya ya mufindi wanaoonekana kwa jirani ni mwandishi wa mtandao huu na mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Bi.Mercy James
Waandishi wa habari ndugu na jamaa wa mkoa wa Njombe wakiwa katika hospitari ya Mafinga kushuhudia hali za watangazaji wa kituo cha radio cha Uplands fm baada ya kupata ajari ya gari hivi karibuni.
usafiri wa abilia watokao wilaya ya Ludewa kuelekea Njombe mkoani ukiwa umekwama kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo
 
Mkurugenzi  mtendaji  wa kituo cha  radio Best Fm Ludewa mkoani Njombe  Bw P. Nkwera akiwa na Micky ambae  ni mtangazaji  wa radio hiyo na fundi mitambo


Mmiliki wa mtandao  wa matukio daima (kushoto) akizungumza na mkurugenzi  wa Best Fm Bw. Nkwera  leo mjini Iringa
Habari na mtandao wa mzee wa matukio daima

No comments: