Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

March 26, 2013

KATA YA LUANA WILAYANI LUDEWA YATARAJIA UMEME KUTOKANA NA MTO MLIMBA

Maji ya mto Mlimba uliyoko kijiji cha Mbwila kata ya Luana ambako umeme utazalishwa ili kuinufaisha kata ya Luana
Diwani wa kata ya Luana Bw.Thomaso Haule akiwa katika chanzo cha mto mlimba 
Wataalamu mbalimbali pamoja na wananchi wa kijiji cha Mbwila kata ya Luana wilayani Ludewa wakifuatilia chanzo cha mto Mlimba ambako nishati ya umeme itazalishwa
Viongozi wa shirika la LCBA wakiwa na wataalamu pamoja na wananchi wa kijiji cha Mbwila ili kufanikisha mradi wa umeme katika kata ya Luana
 misitu inayotiririsha maji katika mto mlimba

Safu ya milima Livingstone inayopatikana katika kijiji cha Mbwila wilayani Ludewa
Wajumbe wa shirika la LCBA na wananchi wakifuatilia chanzo cha mto huo hivi karibuni

No comments: