Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

March 25, 2014

AJALI MBAYA ZILIZOTOKEA WILAYANI LUDEWA MWANZONI MWA MWAKA 2014

 katapila la kampuni ya sietco inayojenga barabara za mitaa ya mji wa Ludewa kwa kiwango cha Lami likiwa limepinduka na kumlalia dereva wa katapila hilo maeneo ya Ibihi

 wafanyakazi wa kampuni ya sietco wakijalibu kuokoa maisha ya mwenzao,lakini walifanikisha na kumtoa akiwa hai.
 Basi la mwafrika linalofanya safari zake Ludewa,Njombe na Iringa likiwa limeanguka kalinga mlima shetani maeneo ya Mlangali



No comments: