Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

February 08, 2013

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI WILAYANI LUDEWA

Fedha zilizotolewa na kampuni ya wachina inayofanya kazi katika mgodi wa makaa ya mawe Nkomang'ombea ambako shule ya msingi iliezuka kwa mvua.
Gari ya mizigo ya kampuni ya wachina ilikwama katika eneo la Muholo wilayani Ludewa kutokana na mvua kubwa kunyesha ambapo iliziba njia na kusababisha gari nyingine kushindwa kupita kwa siku mbili
 Daladala zikiwa stendi kuu ya mabasi Ludewa mjini
 Basi za abilia zikiwa katika stendi wilayani Ludewa
 Basi za abilia na daladal zikiwa nimepak stendi ya Ludewa
 Wasafili wa kwenda Manda wakiwa stendi ya wilaya ya Ludewa katika harakati za kupandisha mizigo tayari kwa safari
 Wafanyakazi wa ambao ni raia wa China wakipata chakula katika mgozi wa mchuchuma wilayani Ludewa
 Mwamuzi wa mpira wa miguu Bw.Thaji akitoa maamuzi katika michezo ya ligi daraja la pili ambapo timu ya Kurugenzi ya wilaya Ludewa na timu ya Zamaleki ya Njombe mjini zilichuana vikali viwanja vya Ludewa mjini

jamaa akipata pombe ya kienyeji katika viwanja vya polisi,ambapo haikujulikana alikotoka na kufika eneo la polisi Ludewa ambako alijilaza chini kabla ya kunywa pombe yake aliyoibeba
 Mashamba ya chai yaliyoko wilayani Ludewa eneo la Lusitu kata ya Madope
Mapolomoko ya mito yaliyoko pembezoni mwa ziwa Nyasa wilayani Ludewa,ni mojawapo ya vivutio vilivyopo wiayani humo
Mchungaji Mlowe alimaarufu kwa jina la Ngapunda wa kanisa la EAGT wilayani Ludewa akiongoza ibada wakati wa msiba wa Haule ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa kitengo cha uhasibu
Jamaa ambaye jina lake halikuweza kufahamika akiwa amejilaza katika kituo cha polisi Ludewa ambapo baadae aliinuka na kuanza kunywa pombe yake na baadae akasimama na kuendelea na safari yake.

No comments: