Bw.Lumato akisisitiza umuhimu wa bajeti hiyo katika halmashauri ya wilaya Ludewa.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Ludewa Bw.Matei Kongo akifungua baraza la madiwani la kupitisha bajeti
Madiwani wakiwa katika kikao cha bajeti ya Halmashauri ya wilaya ya Ludewa
Madiwani wakifuatilia kikao hicho
Wakuu wa Idara wakifuatilia bajeti hiyo
madiwani wakifuatilia mkutano
Wadau mbalimbali wakitoka katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa katika kuipitisha bajeti ya wilaya
Madiwani wakifuatilia kalabrasha za bajeti
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw.Juma Madaha na makamu mwenyekiti wa halmashauri mama Monika Mchilo ambaye pia ni diwani wa kata ya Ludewa wakiwa katika balaza la bajeti
No comments:
Post a Comment