Maloba yenye viazi yakiwa yameungezwa ukubwa unaoitwa lumbesa ambao wakulima wa viazi huibiwa na wanunuzi,kitendo ambacho Serikali inakipiga vita lakini mamlaka husika ikilifumbia macho suala hilo linalowaumiza wakulima ambao ndio wazalishaji
viazi vilivyonunuliwa kwa wakulima vikiwa tayali kwa kusafirishwa kwenda sokono
viazi vikiwa vimefunikwa kwa turubai kata ya Madope wilayani Ludewa ambako wanunuzi wanawaibia wananchi kwa kuweka lumbesa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment