Timu ya polisi inayoongozwa na kapteni Bruno Mwinuka Siwale wakisalimiana na wapinzani wao kabla ya mpambano kuanza.
Katika mechi nyingine ya ligi ya wilaya ambapo ulifanyika mpambano kati
ya timu ya Polisi Ludewa na Vetelani polisi waliibuka washindi baada ya
kuwacharaza timu ya Veteran gori mbili kwa moja na mchezo huo
ulifanyika katika uwanja mpya Ludewa mjini.
Hapo juu ni umati mkubwa wa watu waliofuruka kushuhudia mechi za ligi ya wilaya zinazoendelea katika viwanja hivi na katikati akionekana Mh. Mbunge wa wilaya ya Ludewa akiongea na umati huo ambapo alisisitiza umuhimu wa michezo na kuwapa moyo wachezaji wanaoshiriki katika ligi hiyo.
Picha juu ni mwandishi wa Blog hii akitoa maelezo kwa wachezaji (hawapo pichani ) baada ya mechi.
No comments:
Post a Comment