Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

September 09, 2012

MH. MBUNGE WA JIMBO LA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AONGEA NA WANA MICHEZO WA LUDEWA

Mbuge wa jimbo la Ludewa Bw Deo Filikunjombe akiwa na Diwani wa kata ya Ludewa Bi Monika Mchilo wakimsikiliza Mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu wilaya ya Ludewa(LUDIFA) Bw.Malima katika mashindano ya ligi ya wilaya,mashindayo hayo yalizishirikisha timu za Ludewa Rangers na Black stars ambapo Black stars imeichapa Ludewa Rangers gori tatu huku Ludewa Rangers ikiambulia patupu hadi mwisho wa mchezo.

Picha juu ni vijana wa Ludewa Rangers walioshindwa kuonyesha ubabe wao kwa wana Black stars kwa kukubali kipigo cha bao tatu kwa wao kutoliona lango la wapinzani wao.

No comments: