Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

April 22, 2016

UJENZI WA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI LUDEWA MJINI KUELEKEA LUDEWA KIJIJINI WAENDELEA KWA KASI KUBWA

Mitambo ya kampuni ya SIETCO ya raia wa China ikiwa kazini katika ujenzi wa barabara hiyo 

Ujenzi wa barabara kwa kiwango cha Lami katika mji wa Ludewa kuunganisha na Ludewa Kijijini inaendelea kwa kasi kubwa kutokana na kampuni ya kichina ya SIETCO kufanya kazi hiyo vizuri katika maeneo mengine na hatimaye kupewa tenda nyingine tena ya ujenzi wa maeneo ya mlima unaotoka katika mtaa wa Mkondachi na kuelekea Ludewa Kijijini,

Endelea kutembela mtandao huu ili kupata habari kamili ya ujenzi wa barabara ya Lami wilayani Ludewa.

No comments: