Watu
wanane wakiwamo askari wa jeshi la Polisi,watoto wawili na wapita njia
wawili wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji katika eneo la
Kibaigwa Bwawani mkoani Dodoma.
Naibu Kamishna mwandamizi wa jeshi la Polisi David Misime amethibitisha leo kutokea kwa vifo hivyo.
No comments:
Post a Comment