Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

January 04, 2016

Basi la Luwinzo Lagongana na Lori Asubuhi Hii.......Wawili wafariki Dunia Huku wengine Wakijeruhiwa Lilikuwa likitokea Njombe kwenda Dar


Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar. 
Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa ni wengi. Ajali imetokea maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.

No comments: