Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

January 04, 2016

MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA MKOA WA NJOMBE ADDY NG'ARI AANZA KUIANDAA VIDEO YA NYIMBO YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA NYUMBA YA KUPANGA

Addy Ng'ari aliyetangulia mwenye mavazi meusi akiwa katika maandalizi ya video katika fukwe za ziwa Nyasa kijiji cha Manda wilayani Ludewa katika mkoa wa Njombe





mwandishi na mmiliki wa matandao huu Nickson Mahundi katikati akiungana na msanii huyo na wasanii wengine katika kufanikisha video hiyo inakamiliaka na kuingia mtaani

No comments: