Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

July 06, 2015

MATUKIO KATIKA PICHA WILAYANI LUDEWA

Bwana harusi Faraja temetema alikuwa akiuuga ukapela mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Halmashauri wilayani Ludewa.
 Maharusi wakiwa na nyuso za furaha ikiwa Bwana harusi ni Faraja Tematema

 Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw.Anatory Choya akifungu bonanza viwanja vya mpira wa miguu Ludewa mjini ambapo timu za vijana na wazee za Ludewa Mjini zilikuwa zikichuana na timu za kata ya Mawengi
Mwandishi wa habari Bw.Bazil Makungu ndiye aliyekuwa mwamuzi wa pambano hilo jana
Mkuu wa wilaya ya Ludewa Bw.Anatory Choya akifungu bonanza viwanja vya mpira wa miguu Ludewa mjini ambapo timu za vijana na wazee za Ludewa Mjini zilikuwa zikichuana na timu za kata ya Mawengi

No comments: