Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

June 17, 2015

HIVI NDIVYO SHEREHE ZA MTOTO WA AFRIKA WILAYANI LUDEWA ZILIVYOFANA KATA YA IBUMI

mkuirugenzi wa halmashauri ya Ludewa Bw.Willium Waziri akihutubia wananchi wa kata ya Ibumi katika sherehe za mtoto wa Afrika zilizofanyika kiwilaya katika kata hiyo jana
wanafunzi wa shule ya msingi Ibumi wakiimba nyimbo za kwaya

Akina mama wakiwa na watoto wao katika maadhimisho hayo ambapo mkurugenzi wa Halmashauri alitoa chanjo kwa watoto hao
 Bw.Waziri akitoa chanzo kwa baadhi ya watoto
akina mama wakitumbuiza katika sherehe hizo
Diwani wa kata ya Ibumi Bw.Haule akiwa na Diwani wa kata ya Ludewa mjini Bi. Monica Mchilo
wananchi wakifuatilia sherehe za mtoto wa Afrika

kikundi cha mkwaju ngoma cha kijiji cha masi mavalafu kikitumbuiza


vijana wa timu ya Ibumi wakisubiri kukaguliwa

vijana wa timu ya kata ya Ludewa mjini wakifanya mazoezi
timu za mpira wa miguu za kata ya Ludewa na Ibumi zikisubiri kuchuana katika sherehe hizo

No comments: