Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

May 16, 2015

NPC WAFANYA UCHAGUZI NA HAYA NDIYO YANAYOENDELEA KWENYE UCHAGUZI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA NJOMBE


 Mkurugenzi wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Abubakar Karsan akizungumza kwenye mkutano huo.
Makamu wa rais wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania Jane Mihanji ambaye pia ni msimamizi wa Uchaguzi, akitoa maelezo ukumbini.

 Baadhi ya waandishi wa habari kutoka Njombe Press Club wakifuatilia yanayoendelea.

Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe, hii leo kitafanya uchaguzi mkuu wa viongozi wake katika ukumbi wa Dosmeza mkoani Njombe.

No comments: