Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

March 25, 2015

JUHUDI ZA FILIKUNJOMBE KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA MJI WA LUDEWA ZALETA MATUMAINI

Huu ni mradi ambao umejengwa kwa fedha zake Filikunjombe


Filikunjombe akikabidhi vifaa vya michezo kwa wananchi wa mtaa wa kanisa B

Hii ni Pikipiki aliyoitoa Filikunjombe kwa wananchi wa mtaa wa kanisa B ili kusimamia mradi wa maji kwa fundi wa mtaa huo
Filikunjombe akiongea na wananchi wa mtaa wa Kanisa

Pikipiki ya Fundi wa maji katika mtaa wa kanisa iliyotolewa na Filikunjombe hivi karibuni



Juhudi za kutatua kero ya uhaba wa maji safi nasalama katik mji wa Ludewa zimeanza kutia matumaini kutokana na ujenzi wa kisima cha maji katia mtaa w Kanisa B ambapo wananchi wa mtaa huo wameanza kunufaika na mradi huo wa maji ambao unasimamiwa na wananchi wenyewe.


Aidha katika mipango yake Filikunjombe alisema huo ni mradi wa majaribio kama utafanikiwa kwenda vizuri basi atajitahidi kuchimba visima hivyo katika mitaa yote ya mji wa Ludewa wakati ikisubiriwa miradi mikubwa ya Serikali  ya kusambaza maji kwa wananchi.

No comments: