Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

November 28, 2014

HAYA NI SEHEMU TU YA YALIYOJILI KATIKA UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI NJOMBE LEO

Picha na James Festo, Njombe
 Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi Sarah Dumba akiongea na vyombo vya Habari kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Bi. Rehema Nchimbi kabla ya kuanza kwa maandamano kuelekea uwanja wa sabasaba mjini Njombe kwa ajili ya Uzinduzi wa Maadhimisho ya siku ya Ukimwi.
 Wa kwanza kutoka kushoto ni Mwandishi wa Habari wa TBC, Fredrick Siwale mwandishi wa Habari Kutoka Star TV, na mwisho ni Afisa Habari wa TACAIDS.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Joseph Mbeyela wakiwa wamepumzika kabla ya kuanza maandamano.
 Baadhi ya wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari Mjini Njombe wakiwa wanajiaandaa kwa maandamano
 Moja kati ya mahema yaliyosambazwa Mjini Njombe kwa ajili ya kila mwananchi kupima afya.
 Maandano yalianzia eneo hili katika Benki ya NBC tawi la Njombe

 Mkuu wa Mkoa wa Njombe Akiongoza maandamano hayo na hapa ni mtaa wa masasi.

No comments: