Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

September 08, 2014

AJARI MBAYA YATOKEA LUPINGU WILAYANI LUDEWA DIWANI WA VITI MAALUMU AFARIKI DUNIA

Gari ya wagonjwa ikiwashusha majeruhi katika Hospitari ya wilaya ya Ludewa waliokuwamo katika ajari
hiyo

 majeruhi wakishushwa hospitari



 Wananchi wa kata ya Ludewa wakishuhudia majeruhi waliokuwa wakishushwa katika gari ili kuwatambua

Basi aina ya Toyota Costa inayojulikana kwa jina la DMX iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka Ludewa Mjini kuelekea Lupingu imepata ajari leo asubuhi katika mlima wa Lupingu kuelekea kijiji cha Ntumbati na kusababisha kifo cha mtu mmoja ambaye ambetambuliwa kuwa ni Diwani wa kata ya Lupingu kupitia chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Prisca Kayombo(Zaruta) na kusababisha majeruhi zaidi ya 10.

Hizo ni habari za awali lakini endelea kufuatilia mtandao huu kwa habari zaidi.

No comments: