Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha wachina raslimali ya Taifa inayopatikana wilayani Ludewa ambayo ni Chuma cha Liganga katika moja ya Ziara zake za kikazi
chuma cha Liganga
muonekano wa chuma cha liganga kwa mbali
Mh.Zitto Kabwe akiwa anaangalia makaa ya mawe ya Mchuchuma wilayani Ludewa
Haya ndiyo makaa ya mawe
wageni wakiangalia makaa ya mawe katika mto mchuchuma
mzee Rashid akionesha machimbo ya Kopa yalivyochanganyikana na Dhahabu katika kitongoji cha Muhumbi wilayani Ludewa
Jiwe ambalo linakaa na dhahabu likiwa nimeshachimbwa na kuondolewa dhahabu kitongoji cha Muhumbi wilayani Ludewa
mlima ambao kopa inapatikana
misitu aina ya miyombo inayopatikana Muhumbi wilayani Ludewa
miamba inayopatikana ziwa Nyasa wilayani Ludewa
Fukwe za ziwa Nyasa
miamba ya ziwa Nyasa
mapolomoko ya mto Lupali wilayani Ludewa
mapolomoko ya mto Lupali
misitu ya asili
Safu za milima Living Stone
Pombe aina ya Ulanzi jinsi inavyogemwa
misitu ya Milo
Mashamba ya Ngano wilayani Ludewa
Ngano inayopatikana wilaya ya Ludewa
Mitambo ya machimbo ya Chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe Mchuchuma inayotarajia kuja Ludewa baada ya upanuzi wa Barabara kukamilika
Mitambo ya machimbo ya Chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe Mchuchuma
inayotarajia kuja Ludewa baada ya upanuzi wa Barabara kukamilika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment