Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

August 22, 2014

FILIKUNJOMBE AMLILIA MZEE MWASANGA KUTOKANA NA USHUPAVU WAKE NDANI YA CCM NA LUDEWA

 picha ya mzee wetu Charles Mwasanga enzi za uhai wake

 mtoto wa pili wa marehemu mzee mwasanga akiaga mwili wa baba yake
 Watoto wa Mzee Mwasanga akiwemo Siprian Mwasanga wakiwa na huzuni kwa kuondokewa na baba
yao


mafundi wakijenga kaburi ambalo lilifadhiriwa na mbunge wa jimbo la Ludewa Mh.Deo Filikunjombe
kaburi alilozikwa mzee Mwasanga likiwa limemalizika katika ujenzi
 Filikunjombe na Siprian Mwasanga akiongea na wanandugu
  Filikunjombe na Siprian Mwasanga akiongea na mjane ambaye ni mama mzazi wa Siprian Mwasanga
Kamanda wa vijana wilaya ya Ludewa Mh.Deo Filikunjombe akipewa heshima na Green Gurd wakati wakijiandaa kuubeba mwili wa mzee Mwasanga na kuupeleka kanisani Milo











No comments: