WASHINDI WA BIMA YA JUBILEE TANZANIA WAKABIDHIWA ZAWADI
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Bima ya Jubilee Tanzania Bw. George Alande
(kushoto) akikabidhi zawadi kwa mkurugenzi wa kampuni ya Bima ya
Venture Bw. Alex Lemnge (kulia)aliyeibuka mshindi wa kwanza katika halfa
ya utoaji tuzo kwa mawakala wa wanaofanya kazi kwa kushirikiana na
kampuni ya Bima ya Jubilee halfa hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Bw.
Iddy Hassan Mashanga kutoka kampuni ya bima ya Light Peace akipokea
zawadi ya printer kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaj wa kampuni ya Bima ya
Jubilee Tanzania Bw. George Allande wakati wa hafla ya utoaji tuzo kwa
mawakala wanaofanya kazi kwa kushirikiana na kampuni ya Bima ya Jubilee
Tanzania.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
CHANZO FULL
SHANGWE
No comments:
Post a Comment