| Wabunge wakitoa heshima zao |
| Msanii wa bongo muvi Kety akitoa heshima za mwisho |
| Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akitoa heshima zake katika jeneza lenye mwili wa babake mzee Frolian Filikunjombe |
| Waombolezaji wakiangua kilio wakati wa kutoa heshima zao |
| Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa akifuatiwa na mbuge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola wakitoa heshima zao |
| Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera na uratibu wa bunge Wiliam Lukuvi akitoa heshima zake kwa mzee Filikunjombe |
| Mbunge wa kigoma Kaskazin Zitto Kabwe akiongozana na waziri mkuu mstaafu Lowassa na Kangi Lugola kutoa heshima zao |
| Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola (CCM) akiwa na mbunge wa Kigoma Kaskazin Zitto Kabwe (Chadema) nyumbani kwa mbunge Deo Filikunjombe jimboni Ludewa |
| Mbunge Filikunjombe kulia akinywa pombe aina ya ulanzi huku mbunge Kangi Lugola na Zitto Kabwe katikati wakishuhudia |
| Mheshimiwa kangi akiuliza pombe hiyo |
| Mmoja kati ya wachina akimpa pore Filikunjombe |
| Askofu wa RC Njombe Afredy Maluma akiwa na maparoko wake wakimsikiliza mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe |
| Waombolezaji wakiwa katika ibada |
| Filikunjombe kulia akitoka kanisani na Zitto Kabwe na mbunge Amina Mwidau |
| Jeneza hilo likiwekwa eneo la kaburi tayari kwa kushushwa kwa mashine kaburini |
| hapa Jeneza likiwa limewekwa juu ya kaburi kabla ya kushushwa kwa mashine |
| Mbunge Filikunjombe katikati akiwa na familia yake |
| vifaa maalum vikitolewa ili jeneza hilo liweze kushushwa kwa mashine kaburini |
| Jeneza likianza kushuka kaburini kwa mashine |
| Jeneza likiendelea kushuka kaburini |
| Waombolezaji wakipunga mikono ya kwaheri wakati jeneza likishuka kaburini kwa mashine |
| Jeneza likiendelea kushuka |
| Jeneza likipotea potea |
| hapa jeneza likimalizikia kushuka kaburini |
| Baada ya jeneza kufika mwisho wake |
| hapa kamba za mashine hiyo zikitolewa |
| Jeneza likiwa limetulia eneo lake ardhini |
| Waombolezaji wakijiandaa kuitoa mashine iliyotumika kushusha jeneza hilo |
| Waombolezaji wakitoa mashine hiyo |
| kaburi baada ya kutolewa mashine hiyo |
| Askofu wa RC Njombe Afredy Maluma akitoa baraka za mwisho |
| Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiweka udongo katika kaburi la babake |
| Mdogo wa mbunge Filikunjombe Gredo Filikunjombe akiweka udongo |
| Familia ya Filikunjombe ikiweka udongo |
| kaburi likifunikwa kwa mbao na karatasi maalum |
| Msanii wa bongo muvi Keti katikati akiwa na mke wa mbunge Filikunjombe Habiba Filikunjombe kulia na waombolezaji wengine |
| paroko akiweka msalaba |
| Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe kushoto na ndugu zake wakiweka shada la maua |
| mama wa Filikunjombe akiweka maua |
| Watoto wa Falikunjombe na ndugu wengine wakiweka shada la maua |
No comments:
Post a Comment