Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

May 27, 2014

MATUKIO KATIKA PICHA

Waamuzi wapya baada ya kupata mafunzo wakijiandaa kuanzisha pambano kati ya Town stars ya Ludewa mjini na Maholong'wa FC
 Wachezaji wa Maholong'wa fc wakisalimiana na wachezaji wa Town stars katika uwanja wa Ludewa K
Wachezaji wa Town stars

Mwenyekiti wa timu ya Kurugenzi Ludewa Mh.Fredric Lukuna akiweka shada la maua katika kaburi la Shida Mlulwili shabiki wa timu hiyo aliyepigwa na radiuwanjani wakatiti akiishangilia timu hiyo na kufa papo hapo wakati timu hiyo ikichuana na timu ya Njombe stand mwaka jana katika ligi daraja la pili ngazi ya Mkoa.
Wachezaji wa timu ya Kurugenzi Ludewa wakiweka shada la maua katika kaburi la shabiki wao
Wachezaji wa Kurugenzi Ludewa wakiangalia Jukwaa ambalo mashabiki wao walipigwa na radi na kusababisha shabiki mmoja kufariki Dunia

Baadhi ya wachezajki wakiwa na nyuso za huzuni
Makandarasi wakisaini mkataba wa shilingi 7.8 bilioni kwaajili ya ujenzi wa barabara ya Itoni Njombe Ludewa
Mh.Deo Filikunjombe mbunge wa Ludewa akiongea na makandarasi wakati wa kusaini mkataba huo
Mitambo ikiwa imeanza kazi ya upanuzi wa barabara hiyo
Mmiliki wa mtandao huu akiwa kazini na wanahabari wenzake
 Wanahabari wakiwa kazini
baadhi ya wanahabari waliofika kushuhudia mikataba hiyo

No comments: