Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

September 13, 2013

SHINDANO WA KUMSAKA MISS LUDEWA 2013 LAZIDI KUPAMBA MOTO

 Wanyange wa shindano hilo wilayani Ludewa wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyoko kijiji cha Aman
 Wanyange wakiwa katika nyuso za furaha wakisubiri siku ya mtanange ambapo ni September 14 mwaka huu katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Ludewa



habari hii ni kwa udhamini wa Lukotiko bucher.

Ni wauzaji wa nyama ya Ng'ombe wa kienyeji wanapatikana wilayani Ludewa.

ufikapo wilayani Ludewa wanapatikana sokoni katika jengo la soko la Samaki.

kwa nyama bora kwaajili ya harusi,sherehe na misiba onana na Lukotiko bucher.
 
Pia wananunua ng'ombe wa kienyeji pahala popote wilayani Ludewa.


kwa nyama bora kwaajili ya harusi,sherehe na misiba onana na Lukotiko bucher.



kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0765878297/0764096248/0765796655 na 0755194056.
kutana na Lukotiko Bucher kwa nyama bora.

No comments: