Social Icons

Facebook Twitter LinkedIn Google+

July 19, 2013

MWENYEKITI WA KIJIJI CHA LUDENDE AANZISHA KITARU CHA KUWATIKA MITI

hiki ni moja ya kitaru cha uwatikaji miti na mboga kinachomilikiwa na mwenyekiti wa kijiji cha Ludende kwaajili ya kuwauzia wananchi

Mwenyekiti wa kijiji cha Ludende Bw.Samwel Shagama akiwatika miti

 Mwenyekiti wa kijiji cha Ludende Bw.Shagama akiwa na Leonard Lukuwi katika vitaru vya miti
Mwandishi wa mtandao huu Nickson Mahundi akiangalia vitaru hivyo




Bw.Shagama akiwa katika bustani yake ya mboga


Bw.Shagama akiangalia nguruwe wake ambao anawaandaa kwaajili ya kuwauzia wawekezaji wa kichina

Nguruwe wanaofugwa na Bw.Shagama kwaajili ya kuwauzia wawekezaji wanaojishughurisha na migodi ya chuma na makaa ya mawe

Mwandishi wa mtandao huu akiwa katika kitaru cha kahawa


No comments: