skip to main |
skip to sidebar
MSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY) KATIKA BIG BROTHER YUKO HATARINI KUTOLEWA...KURA ZAKO ZINAHITAJIKA
Kama hisia za wengi zilivyokuwa kuhusiana na
Betty kulipiza kisasi, mambo yameenda hivyo..
Betty ambaye ni
Head of House wa Diamond house amemuokoa Bolt na kumuweka kikaangoni Feza..
Katika Ruby house, Selly ambaye ni Head of house
huko, naye ametumia ukuu wake wa kaya kumuokoa Biguesas na kumtia kitanzini
Koketso..
Wiki hii Feza, Dillish, Hakeem, LK4 na Koketso wako
kikaangoni..
Wakati wa kupiga kura kwa nguvu zote umewadia..
Kazi kwetu watanzania kumpigia kura wakwetu..
Tuwahimize pia marafiki zetu Africa kumpigia kura
Feza kwani kura zao ni muhimu sana.. -- Kila nchi inahesabiwa kama kura moja.
Kupiga kura tembelea --> http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/
No comments:
Post a Comment