Wakizungumza kwenye
msikiti wa mtambani Kinondoni mara baada ya swala, Sheikh
ponda na ustaadh mukadam
wameapa kupambana hadi dakika ya mwisho.
Mukadam amemsifia Allah kwa
kuwapa adhabu ya ugonjwa,watu kadhaa akiwemo mkubwa mmoja alie
mahututi Afrika kusini(wanadai eti alihusika
kuwatengenezea mashtaka),na afisa mwingne wa jeshi kufarik ajalini
baada ya kuwanyanyasa selo!
KAULI
ZA SHEIKH PONDA.
Alitamka kuwa :"Nitapambana hadi mwisho' huku watu wakisema takbir alah akbar! Amesema Wakristo wanapendelewa na serikali. Serikali ilisema aliekojolea kuran ni mtoto,wakati yeye kawakuta watoto jela akiwemo wa miaka 10,aliyekwapua mkoba.,ila yule mkristo wa miaka 14 serikali ilisema mtoto na haikumchukulia hatua zozote!
Pia kasema ana CD zikionyesha jinsi serikali inavyoua na kupanga kukandamiza uislamu. Kampongeza sana Zitto kabwe kwa mchango wake wa kutetea uislamu bungeni na kamponda yule aliepeleka cd alizoita za uchochezi bungeni!

Karudia tuhuma za
kuwa NECTA kuna udini na Waislamu wanafelishwa! Kasema serikali inapendelea na
kuendeshwa na wakristo. Pia kuhusu bomu la Arusha
kasema, wamekamatwa waarabu ,mbona hawajakamata wazungu? Anasema huo ni mpango
wa kuonea waarabu na uislamu!
Ponda kasema wakristo hajawahi kuuawa na serikali,ila waislamu tu ndo wanauawa! Mwembechai waliuawa, Pemba waliuawa. Anadai hata Pemba Waislamu waliuawa na serikali ikitumwa na Kanisa!
Amehoji,mbona hatujawahi kusikia mchungaj au padri kauawa?kasema pemba kuna helcopter zilikua zinalipua majahazi ya waislamu(wakiwa baharini) wakati wanakimbilia Mombasa naTanga.!
Pia kasema,nchi hii hakuna udini,ila kuna mapambano ya waislamu kudai haki zao na redio iman imefungiwa kuwaonea waislamu wasipate pakusemea
Credit: JamiiForum

No comments:
Post a Comment